Monday, November 30, 2015

VIDEO: MANOLO - TRIP LEE FT LECRAE.

Chief Hope | 2:58:00 PM |


Nimekusogezea video nyingine kali zaidi toka kwa mmoja wa Gospel rapaz wakali zaidi U.S.A, "Trip Lee" akiwa na "Lecrae" inaitwa "Manolo". Manolo ni neno (jina) la kiispania linalomaanisha "Emmanuel" yani mungu pamoja nasi. Enjoy.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN