Friday, November 13, 2015

EVENT: TWENZETU CHURCH CONCERT, TAR 15.11.2015. USIKOSEE.

Chief Hope | 12:33:00 PM | |

Twenzetu Church Concert itafanyika pale T.A.G Segerea Chama (Kwa Mch. Katembo). Jumapili ya Tarehe 15. 11. 2015 kuanzia saa 9:00 Mchana nakuendelea, Hakuna kiingilio.

Kwaya na waimbaji mbalimbali watahudumu, Bila kusahau Jeshi zima la Yesu Okoa Mitaa, Rungu La Yesu, Brian Mwimba, SirMbezi, Magele Winner, George Maige, Amani Shabani, Morefire, Eka Injili, Ray 2 Jay, Esther Mbuguni, Adam Fundi, Afande Bright, na Chief Hope wote watakuwepo pale kuhudumu.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN