• Isikupite Hii

    December 4, 2015

    WE NI KIJANA? BHAS! KARIBU KWENYE HII TEENAGERS CAMP. NI WAPI? LINI? MAELEZO YOTE YAKO HAPA.


    Karibu kwenye Camp ya Teenagers itakayo fanyaka Bagamoyo, Kuanzia tarehe 18 Desemba hadi tarehe 20 Desemba. Kutakua na Utalii, Michezo mbalimbali, Kuogelea pamoja na Mafundisho. Kiingilio ni Tsh 45,000/= Tu.

    Kwa maelezo zaidi piga simu 0655 208671, 0754369288, 0754768608 Wote mnakaribishwa.