Thursday, December 3, 2015

EXCLUSIVE: UJIO MPYA WA MC JOE KUITIKISA AFRICA? JE! NI VIDEO AMA AUDIO? (SOMA HAPA)

Chief Hope | 11:04:00 PM |

Mc Joe ni mmoja kati ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wanaofanya vizuri nchini kenya (254). 

Ujio wake mpya umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya yeye mwenyewe kuachia kipande kifupi cha beat ya wimbo wake anaotarajia kuachia hivi karibuni.

Sikiliza Hapa Chini.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN