• Isikupite Hii

  January 14, 2016

  MUSIC VIDEO: WHO AM I - FERN FT CHRIS BATSON.

  Fern na Martymar
  Fern wa Social Club ameachia video yake ya kwanza "Who Am I" kutoka katika album yake inayoitwa "68 & Douglas" aliyoiachiwa hivi karibuni akiwa na Chris Batson. Enjoy!   By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.