• Isikupite Hii

  January 12, 2016

  NGOJA NIWAJUZE MAMBO MENGI YA DUNIA.

  http://timheaven.blogspot.com/

  Wanasayansi bhana, wewe waache tu yaani..!! Eti wameweza kugundua "Mtu aliyepooza anaweza kutumia Computer ikiwa atafungiwa kifaa kwenye ubongo wake" Na macho jinsi yanavyogeuka, au kichwa kutingishika. Basi ndio inakuwa kama "Mouse" yake.

  By Richard Edward

  Jiunge na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.