• Isikupite Hii

  January 19, 2016

  DOWNLOAD WIMBO: OMBI LANGU - GASSYMC FT RUNGU LA YESU & ANGER.


  Gassymc ni mwanamuziki wa Gospel HipHop ambaye yupo muda mrefu katika tasnia ya muziki wa injili tanzania na ameshafanya kazi kadhaa kama vile "Mwanadamu, makanisani, Mungu Hatukuacha N.k".

  Wasiliana na Gassymc kupitia namba +255 755 514 590  kwa mialiko mbali mbali.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.