Friday, February 26, 2016

BAADHI YA AINA ZA TABIA SUGU ZA NGONO. (SOME OF SEXUAL ADDICTION)

Chief Hope | 1:34:00 AM |
1. Kujichua (masturbation)
2. Picha Za Ngono (pornography)
3. Ukahaba (prostit Ution)
4. Ushoga (homosexuality)
5. Usagaji (lesbianism)
6. Kuonyesha Hadharani Sehemu Nyeti (exhibitionism)
7. Kufanya Mapenzi Na Maiti (necrophilia)
Kuna Aina Tatu Za Watu Wenye Matatizo Ya Kufanya Ngono Na Maiti.

  • Necrophilic Homicide - Ni Mtu Anaye Fikia Hatua Ya Kufanya Mpango Wa Kumuua Mhusika Ili Apate Nafasi Ya Kufanya Naye Ndono Akiwa Maiti.
  • Regular Necrophilia - Mtu Anayefanya Mapenzi Na Maiti Ambayo Tayari Imekufa Kwa Sababu Zingine.
  • Necrophilic Fantasy - Mtu Mwenye Mawazo Na Picha Ya Kufanya Mapenzi Na Maiti Lakini Bado Hajapata Nafasi Ya Kutimiza Azma Hiyo.

8. Kuchungulia Wengine Wakifanya Ngono (voyeurism) 
9. Kufanya Vitendo Vya Ndono Na Mtoto Mdogo (pedophilia) 
10. Kufanya Mapenzi Na Vitu Visivyo Hai (fetishism) 
11. Kufanya Mapenzi Kwa Sehemu Tu Ya Mwili (partialism)
12. Kufurahia Ngono Kupitia Maumivu Ya Mwingine (sadism) 
13. Mtu Kufurahia Maumivu Ya Kingono Anayofanyiwa (masochism)
14. Mapenzi Ya Simu (indecent Phone Calls)
15. Manyanyaso Ya Kimapenzi Kwa Mtoto (child Molesting) 
16. Kufanya Mapenzi Baina Ya Ndugu Wa Damu (incest) 
17. Kubakwa Au Kubakwa (rape) 
18. Kufanya Mapenzi Na Wanyama (bestiliality)
19. Matendo Ya Kiharifu (violence) 


By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN