• Isikupite Hii

  February 12, 2016

  KUTANA NA MUUZA KARANGA AMBAYE HUVAA SUTI AKIWA KAZINI. (+PICHA)

  Isa Kebbi ni muuza karanga jijini Abuja, Nigeria ambaye huvaa suti akiwa kazini. Amemwambia mwandishi wa BBC kuwa hununua gunia moja la karanga kwa mkopo kila mwezi na hupata faida ya takriban dola 19. Heshimu na uipende kazi yako.
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.