• Isikupite Hii

  February 3, 2016

  MATOKEO 6 YA KUMWITA MUNGU - PASTOR MITIMINGI.


  Mtu wa Mungu, pokea salamu toka kwa Pastor Mitimingi na anakuacha na hii hapa 'Matokeo 6 Ya Kumwita Mungu'.
  Yeremia 33:3 "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua."

  1. Lazima kuwepo na Nguvu ya Kumwita Bwana.
  2. Mungu akiitwa lazima Aitike.
  3. Mungu Haitiki Mpaka Ameitwa.
  4. Mungu Akiitika Atatuonyesha Mambo Makubwa.
  5. Mungu Akiitika Atatuonyesha Mambo Magumu.
  6. Mungu Akiitika Atatuonyesha Mambo Tusiyoyajua.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.