• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  February 26, 2016

  SIFA 10 ZA MKE WA MTUMISHI - PASTOR PETER MITIMINGI.

  Semina ya Wachungaji na Wake Zao Dar es Salaam!
  Nabii na Abigaili (1Samweli 25:1-42)

  1. Lazima awe ni mwenye Hekima
  2. Lazima awe Msafi wa Mwili na Mzuri wa Uso
  3. Lazima awe tayari kujihatarisha kwajili ya kulinda huduma ya mume wake

  Soma: Mistari 7 Ya Biblia Itakayo Kuinua Kwenye Siku Mbaya

  4. Lazima awe ni mwenye Kujiamini Kihisia
  5. Lazima awe Mkarimu
  6. Lazima awe mnyenyekevu wa kweli
  7. Awe Tayari Kuokoa Uhai wa Familia Yake
  8. Awe na Moyo wa Toba Hata kwa Makosa yasiyo Yake
  9. Awe na Mtazamo wa Kuona Mbele
  10. Awe Tayari Kupokea na Kuzitunza baraka Kutoka Kwa mungu.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.