• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  March 7, 2016

  HILI NDIO LIMAO KUBWA ZAIDI DUNIANI, LINA UZITO WA 5.2 KG (+PICHA)

  Limao lenye uzito wa kilo 5.265 ndio limao zito na kubwa kuliko malimao yote duniani. Malimao ya aina hii yanapatikana Kefar Zeitim katika shamba la Aharon Shemoel huko nchini Israel.

  Source: Kwetustar.com
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
   

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.