Tuesday, March 8, 2016

NGUVU ALIYONAYO MWANAMKE.

Chief Hope | 6:34:00 PM | |
1. Uwezo wa kuona na kugundua ya mbeleni (anawezakuona kisichosemwa au kitakachokuja). Anatumia mlango wa sita wa fahamu unaoitwa EPS
2. Ananguvu ktk kinywa chake kuliko nguvu za mwili kwa mwanaume. Athari za kutotumia kinywa chake vema ni kubwa zaidi.

Soma: Kwanini wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha wake zao?

3. Nguvu na uwezo wa kuendeleza uumbaji
4. Nguvu ya ushawishi
5. Nguvu na uwezo wa kustahimili. Kuvumilia. Kubeba mazito.
6. Nguvu na uwezo wa kujadili bei (bargaining power)
7. Uwezo wa kuwaathiri watoto (positively or negatively)

ILI NGUVU HII ITENDE KAZI
1. Tumia vema kinywa chako
2. Tumia vema ushawishi wako
3. Jitambue

Na Chris Mauki.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN