• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  April 14, 2016

  VITU VINAVYOIBA AU KUVURUGA FURAHA YETU

  1. Hali ya kuwa na mashaka na hofu moyoni (hususan wakati haujui hata unachokihofia)
  2. Hali ya kuchoshwa na mambo ya maisha na kukosa pumziko la moyo
  3. Hali ya kuwa mwenye tabia ya kuhukumu au kuhukumiwa na wengine kwenye mambo fulani
  4. Maumivu ya ndani na kushindwa kusamehe

  Soma: Nguvu aliyonayo mwanamke.

  5. Kuweka mawazo katika historia ya nyuma yenye maumivu
  6. Lawama na malalamiko
  7. Matatizo na misongo ya maisha ya kila siku (life stress)
  8. Dhambi (hususani kama haijaungamwa au kutubiwa)
  Jaribu kuvishuhulikia vitu hivi kama unakabiliana navyo kwenye maisha yako na utaona mpenyo mkubwa sana maishani mwako - Chris Mauki

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.