• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  May 2, 2016

  Askofu gwajima asema haya kwa mh. Magufuli na mafisadi.

  Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema "mafisadi walioinyonya nchi katika Serikali ya awamu ya nne, ndiyo wanaoona utawala wa Rais Magufuli haufai".

  Soma: Mahakama Yakataa Cd Ya Askofu Gwajima Kudaiwa Kumtusi Askofu Pengo.

  Wasikukatishe tamaa endelea hivyo hivyo kuna wanyonyaji walipenyeza mirija yao katika serikali iliyopita wakati wao umefika, sasa wanatapatapa.

  Source: EATV