Monday, May 2, 2016

LAWAMA KUU ZA WANAWAKE JUU YA WANAUME KWENYE MAHUSIANO

Chief Hope | 7:32:00 AM |
1. Wanaume hawawezi kuzielezea hisia zao. Ni ngumu kumjua anafeel vipi
2. Wanaume hawawezi kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja
3. Wanaume wanajifanya wanajua kila kitu. Wanajifanya wanajibu la kila tatizo

Soma: Lawama Za Wanaume Juu Ya Wanawake Kwenye Mahusiano

4. Wanaume sio wasikilizaji wazuri
5. Wanaume hawapendi shopping na wala hawafurahii ukiwanao kwenye manunuzi
6. Wanaume wanaogopa sana gharama
7. Wao wanawaza sex tu muda wote

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN