Thursday, April 7, 2016

NDOTO YA VIN DIESEL YA KUIMBA KANISANI NA KWAYA YATIMIA. (+VIDEO IKO HAPA)

Chief Hope | 2:21:00 PM |
Vin Diesel akiwa na Marehemu Paul Walker.
Mwigizaji maarufu wa filamu nchini marekani Vin Diesel mwenye umri wa miaka 48, anaetamba na movie ya Fast Fast and Furious, amewaacha watu midomo wazi baada ya kuimba wimbo wa "Oh Happy Day" kanisani na kwaya ya kanisa hilo.

Pia mwigizaji huyo alisema "Nataka kusema, ndoto yangu siku zote ni kwamba nipate ujasiri wa kuweza kuimba katika kwaya".

Tazama video hapa chini.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN