• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  April 23, 2016

  LAWAMA ZA WANAUME JUU YA WANAWAKE KWENYE MAHUSIANO

  Wanaume wengi walioulizwa walijibu kwamba;
  1. Kitu kidogo tu kinawaliza wanawake . Wako sensitive sana
  2. Wanawake wana-maneno mengi sana

  Soma: Lawama Kuu Za Wanawake Juu Ya Wanaume Kwenye Mahusiano

  3. Wanawake wanachanganyikiwa sana kwenye manunuzi
  4. Hawawezi kusimamia maamuzi yao. Hawana msimamo
  5. They are too judgmental. Ni warahisi sana kutoa hukumu au kufanya hitimisho la kitu hatabila ishahidi - Chris Mauki

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.