• Isikupite Hii

    May 9, 2016

    Freeman Mbowe 'mwenyekiti wa chadema' atinga nigeria kwa nabii Tb Joshua.

    Ninatazama Emmanuel tv hapa nimemuona mhe. Freeman Mbowe akiwa kwenye ibada katika kanisa la The Synagogue Church of All Nations linaloongozwa na Prophet T.B Joshua.