• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  May 12, 2016

  Maswali matano yakujiulza ambayo yanaweza kubadirisha maisha yako.

  1. Mimi ni nani?
  2. Nimetokea wapi?
  3. Naelekea wapi?
  4. Nimefika wapi?
  5. Natakiwa nifanye nini?

  Soma: Vitu 24 Vya Kuvikumbuka Mara Zote.


  Safari ya maisha kuelekea Mafanikio ama chochote kile unachokiitaji, huanzia katika kujitambua.