Saturday, May 21, 2016

MAJI YA VUGUVUGU TIBA YA MAGONJWA YAFUATAYO

Richard Edward | 1:46:00 PM |
Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  magonjwa  yanayo weza  kutibiwa  kwa  maji  ya  Uvuguvugu

- pumu= asthma
- shinikizo la damu= hbp
- migraine / kichwa= migraine/ headache
- ugonjwa wa sukari= diabetes
- upungufu wa damu= anemia
- maumivu nyuma= back pain
- mawe katika figo= urinary calculus
- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection
- cholesterol= cholesterol


Soma: Unajua Kwamba Smartphone Yako Inaweza Kuathiri Afya Yako?

- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis
- kiharusi =stroke
- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness
- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue
- tonsili =tonsillitis
- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)
- mafua/homa =colds, flu & fever
- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)
- kichome kwenye roho= heartburn
- kidonda tumboni =stomach ulcer
- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation
- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism
- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)
- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)
- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)
- maradhi ya moyo =heart disease
- saratani= cancer
- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

MATUMIZI:
Kunywa glasi mbili ya maji ya Uvugvugu asubuhi unapo amka kabla ya kwenda chooni kupiga mswaki na kabla ya kula chochote  na unapo maliza kupiga mswaki kunywa tena

Maji ya Uvuguvugu glasi 1 na kaa kwa muda wa saa 1 ndio waweza kula chakula cha asubuhi. Na wakati wa mchana kunywa tena glasi 2 kabla ya kula kitu kisha kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula cha mchana.

Na wakati wa usiku kabla ya kula chakula cha usiku kunywa tena Maji ya Uvuguvugu glasi 2 kaa baada ya saa 1 kupita waweza  kula.

kabla ya kulala kunywa glasi 1 ya Maji ya Uvugvugu kisha waweza kulala. Fanya hivyo kila siku katika maisha yako maradhi yote yatakuondokea kabisa utapona. By Richard Edward

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN