• Isikupite Hii

  May 18, 2016

  HII NDIO DVD ALBUM MPYA YA MARTHA MWAIPAJA 'NAIONA KESHO'.

  Mkali wa nyimbo za injili nchini Bi.Martha Mwaipaja ameachia Dvd Album mpya iitwayo "Naiona Kesho". Dvd Album hiyo ina nyimbo 6, Wa Kwanza Naiona Kesho, Nakutazama, Amenisaidia, Katika Maisha, Napendwa Na Baba, Wimbo wa mwisho ni Nifundishe Kunyamaza
  Dvd Album hiyo, anaisambaza Martha Mwaipaja mwenyewe, kama wewe ni muuzaji wa Jumla wasiliana nae kupitia Facebook Page yake >>> Martha Mwaipaja.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.