• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  May 12, 2016

  PICHA 4 ZA MISHE MISHE ZA MASANJA MKANDAMIZAJI AKISAKA PESA MTAANI.

  Wengi wetu tuna mfahamu Masanja Mkandamizaji kama mchekeshaji pamoja na utumishi alionao wa Kichungaji. Ukiacha hilo Masanja ni mjasiliamali na mfanya biashara.

  Kwa sasa ana Mgahawa maarufu uliopo eneo la Tabata Magengeni wenye jina MASANJA WALI NYAMA. Nimekusogezea picha nne za Masanja Mkandamizaji akiwa kwenye mishemishe za kusambaza chakula mjini.

  Soma: Rose muhando aingia mitini na pesa za msama, ashitakiwa kwa waziri wa habari. (story yote iko hapa)

  Kupitia mtandao wa facebook Masanja aliandika sentensi chache za kuonyesha kupigana kwake katika kutafuta pesa pasipo kuangalia nani anamtazama au kumcheka. "MISHE MISHE ZA KUSAKA NOTI LAZIMA ZIENDELEEE!!!
  AMESEMA ATABARIKI KAZI ZA MIKONO YETU SA WE ONAGA AIBU TUU!!
  ‪#‎YaaniKamaNachekeshaKumbeNaZichanga‬😃"
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.