• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  June 27, 2016

  FAIDA 7 USIZO ZIFAHAMU KUHUSU UIMBAJI (KUIMBA).

  1. Kuimba kunaimarisha mfumo wa kinga mwilini.
  2. Kuimba ni mazoezi. (Workout)
  3. Kuimba kunaondoa hali ya kufadhaika.
  4. Kuimba kunapunguza stress

  Soma: Faida 17 Za Kufanya Mazoezi.

  5. Kuimba kunaongeza ngazi yako ya kujiamini.
  6. Kuimba kunapanua ujuzi wa mawasiliano. (kuwasiliana)
  7. Kuimba kunaongeza idadi ya marafiki.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.