• Isikupite Hii

  May 25, 2016

  PICHA ZA SUNGURA MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI (+VIDEO).

  Huyu Sungura ana-urefu wa futi 4, Ukiachana na vyakula vingine sungura huyu hula zaidi karoti zaidi 2,000 na ma-apple 700 Kwa mwaka mzima, Ambayo humghalimu mfugaji zaidi £5,000.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.