• Isikupite Hii

  May 12, 2016

  Tabia 8 za watu wapole - Dr. Chris Mauki.

  Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine sasa leo mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu.

  Soma: Tabia 16 Za Watu Wasio Na Mafanikio.


  1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji

  2. Ni rahisi kuwaamini
  3. Wako tayari kutoa msaada.
  4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
  5. Ni wasikilizaji wazuri
  6. Wanazielewa hisia za wengine
  7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
  8. Ni wagunduzi.

  Soma: Tabia 15 Za Watu Waliofanikiwa Au Wenye Mazingira Ya Kuja Kufanikiwa.