• Isikupite Hii

    June 8, 2016

    Barnaba akiimba live wimbo wa Ambwene Mwasongwe - Upendo. (+video)

    Hii hapa video cover iliyofanywa na kikundi cha THT chini ya Barnaba Classic, ikiwa ni live performance kutoka stegini. Wimbo huu Upendo uliibwa na kutungwa kutoka katika story ya kweli na mwimbaji wa nyimbo za injili Mr. Ambwene Mwasongwe