Saturday, June 11, 2016

LEO NI BIRTHDAY YA BEATRICE MWAIPAJA, YEYE ASEMA HAYA.

Chief Hope | 12:18:00 PM | |
Mabibi na Mabwana leo ni siku ya furaha sana kwa Dada yetu Mpendwa na Mtumishi wa Mungu Bi. Beatrice Mwaipaja. Leo ni Birthday yake (Siku yake ya kuzaliwa).
Na kupitia account yake ya instagram Beatrice Mwaipaja asema "Happy Birthday to me... Birthday ya kwanza kusherekea kama mke wa Jackson Joachim, Asante Mungu kwa hii neema ya kipekee"
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN