Thursday, June 30, 2016

PICHA 4 ZA HELICOPTER YA ASKOFU GWAJIMA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.

Chief Hope | 1:09:00 PM | |

Mbali na nyumba nzuri ya Ghorofa, magari ya kifahari kama vile Hummer, Range LoverNissani Murano, Land Rover 4 na Land Cruiser V8 anazozi-miliki mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima.  Pia Askofu Gwajima anamiliki Helikopta, Hizi ni baadhi ya picha (4) za helikopta hiyo.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN