Saturday, June 4, 2016

JIFUNZE TABIA 10 ZA WASHINDI.

Chief Hope | 4:15:00 PM |
1. Nidhamu. 
2. Sio Wabinafsi.
3. Mtazamo Chanya.
4. Heshima.
5. Ni Viongozi (Wanatabia za kiuongozi)
6. Wanakiu ya mafanikio.
7. Hawakati tamaa. 
8. Wanabeba majukumu.
9. Wanajua kuachilia mambo.
10. Wanaona ushindi kabla haujatokea. 
Washinda wanayajua ama kuyatambua mafanikio yao kabla, kisha wanaanza kufanya kazi kwa bidii ili kuyafikia mafanikio hayo. (Imagination.)

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN