Friday, July 1, 2016

MAMBO MATANO YATAKAYO KUKUSAIDIA KUMFARIJI MTU ALIE UMIZWA KATIKA MAHUSIANO

Richard Edward | 7:52:00 PM | |
Unapotaka kumshauri mtu aliyeathirika na mapenzi unatakiwa kuyafahamu mambo haya muhimu nayo ni:

1. Unatakiwa kujua maana ya upendo na gharama zake.


2. Lazima ujue vyanzo vya kujenga uhusiano ili uwe imara na mwenye nguvu katika maisha ya wapendanao.


Soma: Fanya Haya Kuimarisha Mahusiano Yenu
 

3. Mambo 32 yanayojenga uhusiano kama ulivyosoma.

4. Lazima ujue mambo yanayoweza kuharibu mahusiano na milango ya kuvunja mahusiano.


5. Lazima ujue maumivu ya mapenzi ili uweze kuwaponya waliojeruhika kimapenzi.

 


By Richard Edward

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN