• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  July 30, 2016

  ORODHA YA VYUO VINAVYOTAMBULIWA NA SEREKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

   ORODHA YA VYUO VINAVYOTAMBULIWA NA SEREKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


  Tanzania Kumekuwa na wimbi kubwa la vyuo binafsi kufunguliwa kila kukicha.Vingi vyao havijasajiliwa na NACTE wala TCU na havitambuliki kisheria.

  Na Vyuo hivyo ambavyo havijasajiliwa vimekuwa vikileta usumbufu mkubwa kwa wanafunzi pindi wanapo hitimu mafunzo yao ya cheti na diploma ili waweze kuendelea na degree vya vyuo vikuu nchini

  Ifuatayo ni orodha ya vyuo vinavyotombuliwa na NACTE pamoja na TCU

  Bofya hapa kuona orodha ya vyuo hivyo


  By Richard Edward

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.