Wednesday, September 2, 2015

JE WEWE NI BABY NUMBER 1 KWA MWENZI WAKO??

Richard Edward | 11:53:00 AM |
 JE WEWE NI BABY NUMBER 1 KWA MPENZI WAKO??

Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko tu.


1.  Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya tendo la ndoa tu.

2.  Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake.

3.  Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia.

4.  Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike.

5.  Ni mgumu kukuonesha upendo/kukuchangamkia ukiwa naye hadharani.

6.  Anahofia kupiga selfie na wewe.

7.  Anapigiwa simu za ajabu ajabu.

8.  Hakuiiti wewe kama girlfriend wake. Akiwa na marafiki au ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako.

9.  Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye


By Richard Edward 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN