• Isikupite Hii

  July 11, 2016

  DOWNLOAD WIMBO MPYA: MUNGU UMENIHURUMIA - BEATRICE MWAIPAJA.

  Baada ya kusikika katika album ya kwanza Kumbe Ni Kwa Neema, Beatrice Mwaipaja anakuletea album mpya itakayoitwa Tutafika Salama. Anaanza kwa utambulisho wa wimbo huu Mungu Umenihurumia. Enjoy!

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.