Wednesday, July 27, 2016

HIZI NDIO SHERIA 3 ZA MAFANIKIO.

Chief Hope | 11:22:00 AM |
Mara kadhaa umekuwa ukizoea kuona ya kwamba mahali palipo na sheria lazima pawe chombo au mtu wa kuzisimamia ili sheria hizo ziweze kutekelezeka kirahisi.

Soma: Mambo 14 Usiyo Jua Kuhusu Bill Gates (Billionea).

Lakini katika sheria za ya mafaniko huwa ni kinyume kwa sababu haina haja ya kuwepo chombo au mtu wa kukuongoza isipo kuwa wewe mwenyewe ndiye nahodha wa Maisha yako.

Zifuatazo Ndizo Sheria Tatu Za Mafanikio.

1. Fikiri (think).
2. Panga (plan).
3. Fanya (do).

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN