• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  July 2, 2016

  MAMBO 8 AMBAYO MTOTO ANATAKIWA KUSIKIA TOKA KWA WAZAZI.

  1. Nakupenda.
  2. Nakwamini.
  3. Unaweza.
  4. Najivunia kuwa Baba/Mama yako.

  Soma: Tabia 8 Za Watu Wapole

  5. Nakusikiliza.
  6. Una kila kinachohitajika.
  7. Ninakusapoti Kwa Kila Hali.
  8. Wewe ni Mrembo/Mtanashati.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.