• Isikupite Hii

  July 11, 2016

  MASANJA MKANDAMIZAJI AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE. (+VIDEO)

  Hatimaye Masanja Mkandamizaji a.k.a Street Pastor amvisha pete mchumba wake jana Katika Kanisa La EAGT Mito Ya Baraka, akisindikizwa na Mc Pilipili, Silas Mbise, Emanuel Mbasha na wengine wengi.

  Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa. 

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.