• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  July 21, 2016

  Tofauti kuu 7 kati ya matajiri na maskini.

  1. Matajiri huamini kwamba wao ndio wanauwezo wa kupangilia au kuyaendesha maisha yao WHILE Maskini wanaamini kwamba chochote kitakacho-kuja/tokea ni sawa tu.
  2. Matajiri hutumia pesa kupata pesa (Wanawekeza zaidi na hawaogopa kuingia hasara) WHILE Maskini hutumia tu pesa nyingi ovyo ovyo na wanashindwa kuwekeza kwa sababu wanaogopa kuingia hasara.
  3. Matajiri hutazama, hukimbilia na kujipenyeza kwenye fursa WHILE Maskini wao hutilia mkazo kwenye zikwazo zinavyo izunguka fursa hiyo.

  Soma: Mambo 6 Ambayo Watu Wenye Mafanikio Hawapotezi Muda Kuyafanya.

  4. Matajiri huwaza mambo makubwa (Wanandoto kubwa) WHILE Maskini yeye huwaza mambo madogo.
  5. Matajiri hujitolea kikamilifu kwenye ndoto au malengo yao WHILE Maskini huishia kuota tu usiku jii ya ndoto zao.
  6. Matajiri wanajihushisha na watu wakubwa wenye mali na waliofanikiwa zaidi WHILE Maskini wao hujihushisha na watu wasio na mtazamo (Wasio na mbele wala nyuma)
  7. Matajiri hupenda kujifunza nyakati zote WHILE Maskini hudhani kwamba wanajua kila kitu.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.