• Isikupite Hii

    July 18, 2016

    MUSIC VIDEO: TUMEKUBALI - MIRIAM JACKSON.

    Mabibi na mabwana leo tunaitambulisha kwenu video mpya kutoka kwa Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, anatambulika kwa jina la Miriam Jackson video ya wimbo huu inaitwa "Tumekubali"By Chief Hope 

    Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

    Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.