• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  August 17, 2016

  MASANJA ATOA ADHABU KWA VIJANA WANAOCHELEWA KUOA, KAANZA NA MC PILIPILI. (+VIDEO)

  Mwimbaji, Mfanyabiashara, Mchungaji na Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica, ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa a.k.a Mabachela Sugu.
  By Chief Hope

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.