• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  September 21, 2016

  Video: Mambo ya muhimu usiyo yajua kuhusu Bahati Bukuku, maisha, pesa, kilimo n.K.

  Katika video hii utamsikia Bahati Bukuku akieleza maisha yake ya nyumbani upendelea kufanya nini? Amezungumzia waimbaji wapya katika kizazi kipya cha muziki wa Gospel, Je kuimba kwake kutakapo fikia ukomo atafanya nini?

  Tazama Interview akiwa na Jt Tv 
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.