• Isikupite Hii

    September 22, 2016

    Nabii Bushiri alivyotabiri tetemeko la ardhi la bukoba miezi miwili kabla.(+video)

    Wiki kadhaa zilizopita, mji wa Bukoba ulipatwa na tetemeko lililosababisha vifo vya watu na uharibifu wa mali. Kwa mujibu wa wa Prophet Bushiri ni kwamba Mungu alishamwonyesha tetemeko hilo miezi miwili kabla na kuliombea ni maana madhara yamekuwa machache tofauti na ilivyotakiwa. 

    Tazama video hapa!