• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  September 28, 2016

  YAJUE MATAIFA 5 YANAYOPINGA UWEPO WA MUNGU.

  Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

  1. China. 
  Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
  2. Japan. 
  Ikiwa na 31% ya wapagani, huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
  3. Czech Republic. 
  Ikiwa na 48% ya wapagani, huku asilimia 30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.
  4. France. 
  Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

  5. Korea Rep (South). 
  Ikiwa asamilia 15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.

  By Chief Hope

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.