• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  October 16, 2016

  TAMBUA BRAND ZILIZOFANYA VIZURI DUNIANI 2016
  hizi ndizo brand zilizofanya vizuri dunia kwa mwaka 2016 kutokana na data kutoka brand consultancy Interbrand.

  Brand consultancy Interbrand ni shirika linaloangalia ukuajia wa makampuni  mbalimbali duniani kwa kuangalia vigezo kama kiasi cha technologia wanachotumia,ubunifu na mipango ya makampuni hayo.

  Vigezo vikubwa vilivyotumika kupanga mpangilio huo kwa mwaka huu ni ukuaji wa kampuni hasa kifedha,ushawishi kwa wateja wake na uwezo wa kuuza bidhaa zake kwa bei zuri(premium price) makampuni yaliyofanya vizuri mwaka huu ni yale ya vifaa vya usafirishaji na technologia