Thursday, October 13, 2016

MAMBO 10 YANAYOCHOCHEA MAPENZI KABLA YAWAKATI.

Chief Hope | 10:49:00 AM |
1. Makundi
Tumeshazungumza mengi kuhusu athari za kufuata mkumbo wa makundi, lakini kwenye kipengele hiki hatari ya kuwa na makundi ya wapenda mapenzi ni kukutia majaribuni. 

Uzoefu unaonesha kuwa wanafunzi wengi hasa wa kike huanza mapenzi baada ya kutekwa kihisia na rafiki zao na kuna ushahidi wa baadhi ya wanafunzi kutongozwa na kupelekwa kwa wavulana kwa njia ya ukuwadi.

2 Tamaa

Tamaa ya kupata vitu vizuri nayo inatajwa kuwa imekuwa ikiharibu msimamo wa wanafunzi wengi wao wakiwa wa kike. 

3. Mazingira magumu.
4. Mabadiliko ya mwili
5. Kulaghaiwa.

Soma: Mambo Yatakayo Kusaidia Kama Umeachana Na Mwenzi Wako

6. Malezi yasiyokuwa na maadili
7. Kukosa mipaka
8. Kuangalia au kusoma majarida ya ngono
Akifanya hivyo atajikuta katika vishawishi vya mwili na hatimaye atafanya mapenzi.
9. Kujaribu
10. Mila na desturi potufu.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN