Wednesday, October 12, 2016

MUSIC VIDEO: MOYO MWEUPE - MASANJA MKANDAMIZAJI

Chief Hope | 3:58:00 PM | |
Kutoka kwenye album yake ya SAPRAIZ, Masanja Mkandamizaji amekuletea video mpya ya wimbo wake wa MOYO MWEUPE, Video imeongozwa na Dir. Alex Joseck  kutoka Enzi Filmz hakika utabarikiwa kwa video ya wimbo huu. Karibu!!
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN