• Isikupite Hii

    SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

    October 11, 2016

    Download wimbo mpya: Surprise - Masanja Mkandamizaji.

    Habari! Leo tumekusogezea hii single mpya toka Street Pastor na mchekeshaji maarufu wa kundi la Orijinal Comedy Mr. Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji, Wimbo unaitwa "Surprise". Enjoy Mtu wa Mungu.