• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  October 13, 2016

  UTAFITI: USILE CHAKULA USIKU BAADA YA SAA MBILI,MWISHO SAA KUMI NA MOJA JIONI

   UTAFITI: USILE CHAKULA USIKU BAADA YA SAA MBILI,MWISHO SAA KUMI NA MOJA JIONI

  Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba  kuna hatari kubwa kwa mtu akila chakula kigumu usiku kwanzia saa mbili usiku.

  Mtu anaweza kupata mshutuko wa moyo,shinikizo la damu ama strock.


  Isikupite Hii: Unazifahamu Faida Za Kula Tunda La Tikiti Maji? Ziko Hapa.

  Bofya hapa chini kusikiliza ufafanuzi zaidi

  Chanzo: Millardayo.com

  By Richard Edward


  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.