• Isikupite Hii

  December 21, 2016

  Ifahamu story ya wimbo huu 'I have decided to follow Jesus' (+video)

  Hii ndiyo Story ya wimbo huu "I Have Decided To Follow Jesus", ambayo pia iliandikwa kwenye kitabu kiitwacho "Why God Why" kilichoandikwa na Dr. P.P Job. 

  Story hii niya-ajabu na inaelezea maisha ya mtu ambae alijito 100% kwa Yesu Kristo. May everyone who hears this story be inspired to go and do likewise.
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Kupitia FacebookTwitterInstagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.