• Isikupite Hii

  January 2, 2017

  Mambo 10 ya kufanya ili 2017 iwe ya mafanikio kwako.

  Mambo 10 ya kufanya ili mwaka 2017 uwe ni mwaka wenye mafanikio tele katika maisha yako.

  1. Nidhamu ya fedha
  2. Matumizi mazuri ya muda
  3. Malengo mbadala ‘Plan B’
  4. Kuwa na taarifa sahihi
  5. Usipoteze mwelekeo
  6. Kujali afya
  7. Uchaguzi wa marafiki
  8. Kujielimisha
  9. Kuwa tayari kwa lolote
  10. Kuacha visingiziohusiano.

  By Chief Hope

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
   

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.